Dk. Kigwangalla amekutana na wataalam hao kwa mara ya kwanza, ili kupata mrejesho na kuelewa kiundani namna Wizara yake inavyotekeleza mpango huo wa matokeo makubwa sasa (BRN).
Aidha, Sekta ya Afya ni ya nane (8), katika Sekta zinazotekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN).
NB: Waweza kusoma zaidi juu ya Wizara ya Afya na mpango huo wa BRN kwenye taarifa yake iliyotoka mwaka 2015. Bonyeza hapa: http://ehealth.go.tz/admin/rmo_materials/2.4.%20BRN.pdf
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akisikiliza mambo mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN). Katika mkutano huo leo Februari 27.2016, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (Kushoto) akisikiliza kwa umakini masuala mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN). Mkyano huo unafanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo Februari 27.2016.
Wajumbe wa BRN wa Wizara ya Afya wakitoa maelezo yao mbalimbali kwa Naibu Waziri, Dk. Kigwangalla (Hayupo pichani).
Wajumbe wa BRN wa wizara ya Afya wakifuatilia kwa umakini mkutano huo na Naibu Waziri (hayupo pichani)
Naibu Waziri Dk.Kigwangalla akisikiliza kwa umakini pamoja na wajumbe wengine katika mkutano huo ambao amekutana na wajumbe wa timu ya wataalam wa Wizara yake hiyo wanaoshughulikia masuala ya BRN.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akisikiliza mambo mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN).
Mkutano huo ukiendelea..
Wajumbe wa Wizara ya Afya wanaoshughulikia mpango wa BRN wakifanua jambo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akisikiliza mambo mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN).Baadhi ya Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN) wakifuatilia mkutano huo mapema leo Februari 27.2016, katika ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa