Translate in your language

Tuesday, March 24, 2015

Asilimia 80 ya wabunge hawafai’

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema zaidi ya asilimia 80 ya wabunge waliopo bungeni sasa hawakustahili kuwa wabunge kwa sababu baadhi yao wana uwezo mdogo kiakili alioulinganisha na GB moja ya kompyuta.
Msigwa alisema kwa maoni yake, ni asilimia 20 pekee ya wabunge ndiyo wenye uwezo na vigezo vinavyostahili kupata nafasi hiyo ya uwakilishi wa wananchi katika chombo hicho cha kutunga sheria

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)