HOME
ABOUT MAFIA
MOVIES
BONGOZ MOVIES
AJIRA
VITIMBI
MATUKIO KATIKA PICHA
Mafia Tourism
Translate in your language
Sunday, May 11, 2014
MTOTO AUA WAZAZI WAKE WAWILI NA KUCHOMA MOTO NYUMBA MKOANI KILIMANJARO
WANANDOA wawili wameuawa kinyama baada ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Yusuf Njau (32), anayeaminika kuwa ni mtoto wa wanandoa hao, kuwacharanga kwa shoka kisha kuchoma moto nyumba yao na kutokomea kusiko julikana.
Tukio hilo la kusikitisha na la aina yake limetokea juzi majira ya saa 12:30 jioni katika kijiji cha Masama-Roo, Kata ya Machame Mashariki,wilaya ya Hai, mkoani
Kilimanjaro
baada ya kijana huyo kuchukua uamuzi huo ambao unadhaniwa ni sababu za ugomvi wa kifamilia. Waliouawa wametambulika kwa majina ya Shahidu Njau(60) ambaye ni baba mzazi wa mtoto huyo na Minae Swai(57) ambae ni mama mzaz
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa
Newer Post
Older Post
Home
Kijiweni (nipe 5)
mafia chatroom - Fullscreen
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa