Makamu wa rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Unjenzi Dk. John Magufuli pamoja na RPC Suleman Kova wamenusurika katika ajali baada helkopta waliyokuwa wamepanda kupata hitilafu wakati ikiruka huko Ukonga kwenda kuangalia athari zilizosababishwa na mvua Jijini Dar es Salaam.
Imethibitishwa ni kweli kupitia TBC walio nusurika ni
1. Makamu wa Rais, Dr. Bilal
2. Mkuu wa mkoa wa Dar, Sadik
3. Mkuu wa polisi Kanda Maalum, Kova
Wamepata majeraha kidogo walikuwa wakikagua athari za mvua jijini Dar Es Salaam
Habari zaidi zitaendelea kuwajia.
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa