Rapa Chris Kelly a.k.a Mac Daddy wa kundi la zamani la Kriss Kross amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 34. Imeripotiwa kwamba rapa huyo alikutwa nyumbani kwake huko Atlanta akiwa hana fahamu na kutangazwa kuwa amekwisha kufa baada ya kupelekwa huko Atlanta Medical Center.Chanzo cha kifo chake hakijajulikana bado.
Hii ni moja ya nyimbo kali zilizo
hit 'miaka ya tisini' kutoka kwa Kriss Kross - Jump
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa