Translate in your language

Friday, May 3, 2013

Hali halisi kiuchumi:Umaskini na maisha bora ‘uswazi’


Katika duka moja, Manzese Midizini, sukari, majani ya chai na chumvi vimefungwa katika paketi zenye ujazo unaofanana (sawa)  na ule wa paketi za karanga. Kila paketi moja ina bei yake.
Sukari inauzwa Sh150 wakati majani ya chai na chumvi vinauzwa kwa bei ya Sh50 kiwango ambacho kinaelezwa kwamba  wakazi wengi wa eneo hilo wanamudu kununua.
Wakazi wengi wanaonunua bidhaa hizo katika bidhaa ndogo ni wale wa kipato cha chini ambao wanaishi chini ya dola moja.

Hii ndio Manzese kiuchumi
Muuza duka anayejitambulisha kwa jina la Issaya Mushi anasema anafunga bidhaa hizo katika ujazo huo kwa sababu wateja wake wengi hawana uwezo wa kununua katika kiwango cha robo kilo, nusu au kilo moja na kuendelea.
t

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)