Mbunge wa Massachusetts, Barney Frank amekuwa mbunge wa kwanza kufunga ndoa ya kishoga Marekani. Frank, mbunge wetu mpendwa wa miaka mingi hakuficha ushoga wake. Aliwahi kuwa na skandali ya kutembea na malaya wa kiume na pia kutembea ma kijana wa kiume ambaye alikuwa intern Bungeni.
Congressman Barney Frank (D-MA) (72) married longtime partner, Jim Ready (43) this past weekend . The couple got hitched Saturday at the Newton Marriott in a ceremony officiated by Governor Deval Patrick , and attended by Representatives Nancy Pelosi , Dennis Kucinich , and Steny Hoyer , and Senator John Kerry .
kwa habari zaidi bofya hapa, na kwa picha zaidi bofya hapa
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa