Translate in your language

Wednesday, July 18, 2012

Breaking news......Meli yahofiwa kuzama Zanzibar

Meli ya Skagit iliyokuwa ikitoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar inahofiwa kuzama katika eneo la Chumbe ikiwa na abiria wapatao 200.


hii ndio meli iliyopinduka leo 2waombee dua wenzetu inshaalah !!!!

1 comment :

Anonymous said...

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kupitia kwa mashuhuda Meli hiyo MV Karama ya Kapuni ya Seagal imezama baada ya kupinduka kichwa chini miguu juu katika eneo la Chumbe karibia na Visiwa vya Zanzibar.

Mashuhuda hao wanakisia kuwa takribani watu 200 walikuwa ndani ya meli hiyo hata hivyo watu kadhaa wameonekana wakiwa wanelea huku wakiwa wamevaa (Life Jackets) na kuwa boti zisizopungua 4 zimeshafika eneo la tukio kwa ajili ya kuwaokoa na Wahanga wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja.

MO BLOG TEAM: Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadri zitakavyokuwa zikitufikia

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)