Translate in your language

Sunday, February 12, 2012

SIMBA HULEEEEH !!!!!!

TIMU YA SIMBA JANA ILIFANIKIWA KUIFUNGA AZAM SC KWA MABAO 2-0 NA KUFANIKIWA KURUDI KILELENI KATIKA MSIMAMO WA LIGI WA VODACOM - TANZANIA 
 wachezaji wa simba wakisalimia na kushangilia na mashabiki baada ya mchezo wa jana

mashabiki wa simba wakishangilia baada ya timu yao kuibuka kidedea jana (11.02.2012)

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)