hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa muda kidogo kabla ya nyumba hizo kuvunjwa kwa ajili ya mradi mkubwa wa kujenga nyumba kubwa za ghorofa na nzuri na shirika la nyumba la taifa na baadae kupangishwa kwa wakazi wa Dar es salaam, na hii ilikuwa ziara ya wanafunzi toka chuo cha afya muhimbili pamoja na baadhi ya maofisa wakijaribu angalia hali halisi ya eneo husika ukizingatia huduma za kijamii zilishafungwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wakishinikiza wakazi waliobaki katika maeneo hayo kuondoka na kupisha ili nyumba hizo zivunjwe kupisha huo mradi kuanza
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa