Translate in your language

Sunday, September 4, 2011

ZIARA YA TANGA

 nilianza kwa kushangaa kwa majina ya hotel, kama hili linasomeka RUSHA ROHO 
 CITY CENTER



 Barabara ya kuelekea raskazone iliko hospitali ya mkoa (BOMBO) 
 sehemu ya bahari mjini TANGA

 CITY CENTRER with old buildings
 sehemu maarufu inayoitwa soko la wazungu, iko maeneo ya mjini karibu na bank ya NMB
 Mi majina yao tu !!!!!!!!
 kibao cha hotel niliyokuwa nimefikia

 Moja ya hotels yenye manzari nzuri mjini tanga iliyo maeneo ya SAHARE, inaitwa TANGA BEACH HOTEL 

 BEACH ya JET 
 MKONGE HOTEL, hii hotel ya toka long ina manzari mazuri sana na naksh zake ni za zamani zamani 
 Nikiwa nimepumzika juu kabisa ndani ya  NYUMBANI hotel, nikiwa napata hewa safi kabla ya kuelekea kituoni tayari kwa safari ya kurudi DAR 


Baadhi ya maeneo ndani ya NYUMBANI HOTEL 




2 comments :

Anonymous said...

kweli mwana ulifaidi naulli ya tanga ni shilingi ngapi nataka kwenda kutembea, tafadhali nitaomba ushauri wako kabla sijaenda

orehabusiness said...

HAINA TABU TUWASILIANE TU UKIWA TAYARI

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)