JK na Mama Salma wakipiga kura leo
JK akipiga kura yake katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Msoga, kata ya Msoga,Chalinze leo asubuhi.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga kura katika kituo cha shule ya msingi Msoga iliopo Chalinze leo asubuhi. kwa msaada wa michuziblog
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa