Spec boogie kushoto akiwa na Andrew Chale, 'kajonalist wa mafia blog' muda mfupi baada ya maojiano leo mchana.
'NIMEONA KIWANGO CHA AY, NI KIZURI NA ANAFAHA KUFANYA KAZI NA MIMI NINAHAKIKA PINDI NITAKAPOANDAA ALBAM YANGU MPYA NAMSHIRIKISHA AY, NIMEIZIMIKIA NYIMBO YA 'CHAMPIONI' ALISEMA BOOGIE.
KATIKA SHOO HIYO BOOGIE ALIWEZA KUPAFOM NYIMBO ZAKE NA FREESTILE ZA KUFA MTU.
MPAKA SASA ANA ALBAM MOJA ILIYO NA NYIMBO KAMA 'BED SYUY', SLAVE NA SOLID GOLD.
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa