Translate in your language

Tuesday, July 13, 2010

SPEC BOOGIE AMKUBALI 'AY' ZIFF 2010

MSANII  KUTOKA MAREKANI ANAYETAMBA NA WIMBO WA 'BED  STUY' JANA ALIMKUBALI MWANAMUZIKI WA TANZANIA KATIKA SHOO ZINAZOENDELEA ZA TAMASHA LA ZIFF 2010.

m
Spec boogie kushoto akiwa na Andrew Chale, 'kajonalist wa mafia blog' muda mfupi baada ya maojiano leo mchana.

AKIONGEA KWA MAOJIANO MAALUM NA MAFIA BLOG, BOOGIE ALISEMA KUWA AMEMUONA AMBWENE YESSAYAH ;AY' NA KUMKUBALI KWA NYIMBO ZAKE.

'NIMEONA KIWANGO CHA AY, NI KIZURI NA ANAFAHA KUFANYA KAZI NA MIMI NINAHAKIKA PINDI NITAKAPOANDAA ALBAM YANGU MPYA NAMSHIRIKISHA  AY, NIMEIZIMIKIA NYIMBO YA 'CHAMPIONI' ALISEMA BOOGIE.

KATIKA SHOO HIYO BOOGIE ALIWEZA KUPAFOM NYIMBO ZAKE NA FREESTILE ZA KUFA MTU.

MPAKA SASA ANA ALBAM MOJA ILIYO NA NYIMBO KAMA 'BED SYUY', SLAVE NA SOLID GOLD.

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)