Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akiwa katika picha ya Pamoja na Mkurugenzi wa Mkaazi wa ADB Tanzania, Dr Sipho S.Moyo,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akizungumza na Mkurugenzi wa Mkaazi wa ADB Tanzania, Dr Sipho S.Moyo,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akisalimiana na Mkurugenzi wa Mkaazi wa ADB Tanzania, Dr Sipho S.Moyo,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa