Translate in your language

Wednesday, June 9, 2010

TWIGA STARS; sisi ndiyo Stars wapya!!

Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake nchini, Twiga Star, baada ya kufanikiwa kuingia katiika michuano ya soka ya wanawake inayotalajia kufanyika nchini Afrika Kusini hapo baadae imetamba na kudai kuwa wao ndiyo Staz pekee katika soka nchini.

Hata hivyo timu hiyo inawaomba wadau kujitokeza kwa wingi kuisaidia michango ya hali na mali iliiweze kusonga mbele zaidi.

"Unajua mapenzi ya watanzania wengi waliweka kwa timu ya taifa ya wanaume na kutusahau sisi, hivyo tumeweza kufanya vizuri na sasa tunaendelea kuiwakilisha vyema bendela ya Taifa" walisema wachezaji hao.

;JAMANI TUJITOKEZENI KUICHANGIA TWIGA STARZ- Mafia Blog.

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)