Happy Birthday MO !!!!
Jana Mei 8, Mh.Mohammed Dewji wa jimbo la Singida Mjini, alikuwa akisherekea sherehe za kuzaliwa kwake, hivyo Mafia-Matembezi blog inamtakia kila la kheri kufanikisha yale yote aliyopanga kufanya katika maisha yake....Mungu aendelee kumzidishia na kumpa neema na maarifa tele katika nchi hii ya Tanzania na Dunia.
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa