Makabidhiano Uwanja wa Amaan Studium Zanzibar
Pichani juu: Naibu Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo,Ali Juma Shamuhuna,akitiliana saini na Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinshang ikiwa ni makabidhiano ya Uwanja wa Amaan Studiam baada ya Uwanja huo kufanyiwa matengenezo makubwa na kampuni ya Fujian Construction and Engineering Group,kutoka China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,(katika) akikagua Uwanja wa Amaan wakati wa hafla ya makabidhiani ya kiwanja hicho kilichofanyiwa mtengenezo makubwa na kampuni ya kichina ya Fujian Construction and Engineering Group,
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
|
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa