Pichani juu; Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoka nje ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Beijing, mji mkuu wa China,akifuatana na Balozi wa Tanzania nchini China Ndugu Ramadhan Omar Mapuri,kulia, aliyefika kumpokea rasmi na kushoto ni Bibi Esther Mkwizu,Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation ambaye yuko kwenye msafara wa Mama Salma. Mama Salma Kikwete yupo nchini China kuhudhuria mkutano wa 'Global summit on women' unaofanyika kuanzia le 20-22 May, 2010
Picha inayofuata; Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa binti Sarah Kitokezi,miaka 3,kama ishara ya kumpokea rasmi alipowasiri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Beijing hapa China kuhudhuria mkutano wa siku tatu utakaozungumzia masuala ya wanawake ulimwenguni.Wazazi wake binti Sarah ni maafisa waandamizi katka ubalozi wa Tanzania hapa China.(PICHA NA JOHN LUKUWI).
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa