Picha Juu; SEMINA!!!
Mratibu wa mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali yanayoshugulika na elimu ujulikanao kama TEN-MET wa wilaya ya Kinondoni,Bi Zippora Shekilango,akitoa maelekezo kwa washiriki wa semina ya kufanya tathmini ya elimu ya msingi nchini iliyofanyika jana katika ukumbi wa shule ya msingi ya Kinondoni.Tathmini hiyo inayoendeshwa na TEN-MET ambayo imeanza kufanyika wiki hii itafanyika katika wilaya 38 za hapa nchini.
Picture 2.
Mshiriki wa semina ya tathmini ya elimu ya msingi inayoendeshwa na TEN-MET,Rukia Masanyika,akichangia mada wakati wa semina iliyofanyika jana katika ukumbi wa shule ya msingi Kinondoni. Tathmini hiyo inayoendeshwa na TEN-MET ambayo imeanza kufanyika wiki hii itafanyika katika wilaya 38 za hapa nchini.
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa