| Picha mbalimbali za matukio ya tamasha la watoto Watoto mkoani Dodoma leo wamewakilisha watoto wenzao katika tamasha kubwa nchini Tanzania katika kupongeza Bunge kwa kupitisha sheria ya kumlinda mtoto wa Tanzania, Sheria hiyo imepitishwa na mwaka 2009 na imeanza rasmi kutumika April 1 .mwaka huu.. Katika maandamano yaliyopokelewa na Waziri mkuu Mizengo Pinda leo katika viwanja vya Uwanja wa Jamhuri Dodoma leo. Picha zote na Mwanakombo Jumaa wa MAELEZO |
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa