Translate in your language
Tuesday, April 13, 2010
nimeona niwawekee hii kwani nami ni mdau wa afya za watu
ila wadau pia kumaliza doz nayo pia ni muhimu kupita maelezo, kwani usipomaliza doz unafanya ugonjwa kua sugu kwa dawa iyo na ivyo kulazimika kubadili dawa kila wakati na itafika wakati hakuna dawa mbadala na kupelekea kukosa dawa ya kukutibu ivyo kukufanya kuumwa na kukosa dawa muafaka

No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa