MH. PINDA KUONGOZA MATEMBEZI YA KUCHANGIA ASASI YA MATITI APRIL 25 DAR
Waziri Mkuu wa
Akizungumza na Mafia Blog, makao makuu ya taasisi hiyo yaliyopo Mwananyamala katika jingo la S&F barabara ya Mwinyijuma, Komakoma, Mkurugenzi na mwanzilishi wa Taasisi hiyo Bi.Angela Kizilwa alisema kuwa matembezi hayo ya Hisani yaongozwa na Wiziri Mkuu,pamoja na mabalozi mbalimbali kwa kujumulisha wananchi.
"Mazoezi ya kuchangia mfuko wa Asasi tunatalajia kuyaanza mapema siku ya Jumapili,25 Aprili ambapo yataongozwa na Mh.Pinda na kuanza kuanzia hospitali ya
Bi.Kizilwa aliwaomba wadau mbalimbali kujitokeza katika matembezi hayo yaliyona lengo mfuko huo kwa nia ya kutokomeza na kupunguza matatizo kwa wanawake wengi ambao wanakabiliwa nalo.
'Lengo zaidi ni kuona wadau mbnalimbali wakitupokea kwa kufanikisha dhima ya kupambana na tatizo ili ambalo si la akina mama waliokwisha patwa !! bali ni kwa ajili ya watanzania wote" alisema.
Kwa matembezi hayo yatakayofanywa siku hiyo yatakuwa ni ya pili kwa taasisi hiyo, ambapo mwaka juzi 2008 walifanya matembezi kama hayo yalitoa hamasa kubwa kwa akinamama kujitokeza kwenda kupima ama kuangalia afya zao na kukabiliwa na tatizo
Katika matembezi hayo, ambayo yataongozwa na vikundi mbalimbali vikiwemo vya Ngoma, tarumbeta na bendi za shule, pia akimama ambao tayari wamegundulika na kufanyiwa operesheni ya ugonjwa huo, nao watakuwepo katika matembezi hayo.
Aliwataja wadhamini waliojitokeza kwa mwaka huu kuwa ni: IPP, Barclays, MSD,Twiga Cement,DHL na makamouni mengine mengi huku akiwataka wadau na makampuni mengine kuendelea kujitokeza kufanikisha misaada ambayo itaongeza ufanisi katika Asasi hiyo.
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa