Translate in your language

Wednesday, April 14, 2010

Goodluck hajaonana na Rais Umaru Yar' Adua
 
Kaimu rais wa Nigeria Goodluck Jonathan,anasema hajawasiliana na rais Umaru Yar'Adua kwa miezi mitano.
 

Bwana Yar'Adua hajaonekana hadharani tangu aliporejea kutoka nchini Saudi Arabia kwa matibabu mwezi Februari.

 

Akiongea na BBC, bwana Jonathan hakuelezea chochote kuhusu afya ya rais Yar' Adua ingawa alisema amezungumza na mkewe pamoja na wasaidizi wake.

 

Aidha alizungumzia ghasia zilizokumba jimbo la Jos akisema zilichochewa kikabila wala sio kidini.

 

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)