Translate in your language

Tuesday, December 29, 2009

ujenzi wa barabara ya jangwani kupitia kigogo kwenda ubungo washika kasi


 Ujenzi wa daraja katika barabara ya Jangwani kuelekea Ubungo Maziwa umeshika kasi kama fundi anavyoonekana akitoa mbao zilizotumika kujengea baada ya saruji kukauka eneo la Jangwani Dar es Salaam jana ( 28/12/2009).

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)