Translate in your language

Sunday, September 12, 2010

CUF YAZINDUA MANIFESTO YAKE

Wazalendo
Chama cha Wananchi – CUF leo hii kimefanya shughuli mbili muhimu kuelekea uchaguzi mkuu  hapo tarehe 31 October.
Kwanza, wamefanya shughuli ya kuzindua manifesto yao.
Pili, wamefungua website maalum kwa ajili ya kampeni ya urais.
Should you wish to be updated on the campaign trail please visit the following website :
  click here

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)