Translate in your language

Sunday, August 29, 2010

MAMA SALMA KIKWETE AMFAGILIA SHAH  MAFIA!!!


Mwenyekiti wa Taasisi ya wanawake na Maendeleo (WAMA) ,Mama Salma Kikwete, leo akiongea na wanachama wa UWT Wilaya ya Mafia katika ziara ya siku moja kuwahamasisha wanacham wa umoja wa nawake Tanzania kuwachagua wagombea wa CCM katika uchaguzi ujao.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akimtambulisha jana mgombea ubunge wa Mafia kupitia CCM Abdulkarim Shah.

Wanachama wa UWT Wilayani Mafia Mkoa wa Pwani leo wakimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete hayupo pichani katika mkutano wake na wanachama hao kuhusu kuwahamasisha masuala ya Uchaguzi Mkuu ujao hapo Oktoka 31 mwaka huu.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi ambao ni akina mama wa UWT wakimsikiliza mama Salma Kikwete.
(Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)