VITIMBI


jamaa karudi usiku wa manane. Moja kwa moja akazama chumbani, akafunua blanketi, akaiona miguu minne badala ya miwili aliyozoea. Jamaa akafunika blanketi taaratibu, akachukua bonge la rungu, akaitwanga ile miguu kwa nguvu zote halafu akaelekea sebuleni kutuliza hasira. Kutahamaki akamkuta mkewe amejipumzisha sebuleni. Mkewe akamwambia: Wazazi wako wamekuja leo kututembelea, nimewaachia
chumba chetu walale
_____________________________________

Wavuta bangi wawili walionna embe juu ya mti, wakaamua kulitungua . Walirusha mawe mengi lakini hawakufanikiwa kuliangusha. Mvuta bangi mmoja akasema isije ikawa embe lenyewe bichi, ngoja nipande juu nikalicheki. Baada ya dakika kadhaa yule mvuta bangi akashuka chini akamwambia mwenzake "nimelibonyeza limeiva vizuri kabisa, tuendelee kulitungua mwanangu

3 comments:

Anonymous said...

hii kali si angechuma tu hilo embe alivyopanda kuangalia kama limeiva au laaah !!!!!!

Anonymous said...

hah hah hh ah ah ahah ah ah ahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

Anonymous said...

kicheko gani iko ?

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa