Wednesday, April 13, 2016

VIDEO MPYA BABA UBAYA - "NIMEWAMISS" FT. TID MNYAMA

Sio kwamba anamambo mabaya ndio maana kaitwa "Baba Ubaya" tambua huyu ni moja kati ya rappers nchini Tanzania ambaye anapenda mazoezi ya viungo, yaani hana ubaya na mtu!. Nyota huyu baada ya kuachia Audio miezi kadhaa iliyopita wimbo wa "Nimewamiss" ft. TID Mnyama, leo muda mfupi uliopita ameachia Video, ili fans wake wazidi ku-enjoy na ku-show love kwa "Baba Ubaya + TID.
Kwa heshima na taazima tunachukua fursa hii kukukaribisha ili uweze kuitazama video hapa>>>https://www.youtube.com/watch?v=RFvumbroIjk&nohtml5=False. Ushauri na maoni, like na share vitasaidia kuisukuma video hii mbele zaidi Thanks.


No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa