Saturday, August 4, 2012

Ngassa Tayari Kukipiga Msimbazi

Na hii ndio gari (verrosa) aliyopewa baada ya kusaini
mkataba huo na timu ya simba

Unaweza usiamini lkn Mshambuliaji mpya wa Mabingwa wa soka Tanzania Bara Mrisho Khalfani Ngassa leo ameanza mazoezi rasmi na team yake mpya kujiandaa na mashindano ya Kombe la Mbuzi ABC pamoja na msimu mpya wa Ligi unaotarajia kuanza mwezi September.
Akinukuliwa na Mtandao mmoja unaojishughulisha na Vijana Teen Tz Ngassa amesema amejipanga kufanya mambo makubwa na ndo maana hajataka kupoteza muda kwa kujiunga na wenzake kuanza mazoezi,aidha Ngassa amewataka mashabiki wa Simba kumpa ushirikiano ili awafanyie mambo ambayo hawatayasahau kwa urahisi

No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa