Translate in your language
Tuesday, June 26, 2012
Wazazi wa mtoto aliteibwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Kahama, Bi. Modesta Sumbuko (26) na mume, Bw. Emmanuel Matheo (28), wakazi wa Kijiji cha Butende, Kahama wakiwa na mtoto wao mchanga wa siku 5, aliyeibiwa wodini hivi karibuni baada ya kujifungua kwa Operesheni. Kichanga hicho kilibiwa na Bi. Pili Benard (28), aliyekamatwa nacho kwa mganga wa jadi, Bi. Jane Mbalamwezi (54), wa Kata ya Isaka, kilomita 45 kutoka mjini Kahama
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa