Wednesday, March 14, 2012

TATIZO LA MIFUGO NDANI YA UZIO WA HOSPITALI - MAFIA

Tatizo la wanyama kuingia katika eneo la hospitali ya wilaya ya mafia limekuwa sugu, wanyama hao wanaingia katika uzio wa hospitali kwa ajili ya kutafuta malisho, tatizo la wanyama hao ni pamoja na uharibifu wa mazingira na hali ya hatari kwa wateja wa hospitali kutoka kwa m'bwa. Tatizo limekuwepo kutokana na kuharibika kwa uzio huo pamoja na kutokuwa na usimamizi wa wanyama hao kutoka maeneo ya karibu ya hospitali
Baadhi ya ng'ombe wakionekana ndani ya uzio

uoto ndani ya hospitali ukiwa umemalizwa kutokana na wanyama hao

No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa