kwa wale waliomaliza form four wanaweza jaribu bahatisha omba nafasi za masomo toka wizara ya afya, na kama tunavyojua wizara inahitaji watumishi katika idaya zake, hivyo ni nafasi pekee kwa wadau kuomba nafasi hizo za mafunzo na kuwa na uhakika wa ajira
form ya maombi na maelekezo yake (just click)
|Tangazo la Mafunzo Wizara ya Afya (just click)
karibuni kwa msaada zaidi !!!!!!
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa