kufa kufahana bajaji zikionekana kupata wateja baaba ya usafiri wa daladala kuwa tabu baada ya miundombinu ya barabara kuharibika
Askari akiwa katika moja ya majukumu yake ya kuangalia usalama wa raia katika daraja la salender
Baadhi ya picha zikionyesha mafuriko eneo la jangwani kutokana na mvua hizo
Waokoaji wakiwa juu ya mapaa ya nyumba ntayari kwa uokoaji
Eneo la daraja la jangwani lionekana kuathirika katika kingo zake
Watoto nao hawakusita kuendelea na michezo yao, kama anavyoonekana mtoto huyu akiruka juu ya matenga yaliyopangwa kurahisisha watu kupita bila kukanyaga maji machafu yaliyotokana na mvua
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa