nilianza kwa kushangaa kwa majina ya hotel, kama hili linasomeka RUSHA ROHO
CITY CENTER
Barabara ya kuelekea raskazone iliko hospitali ya mkoa (BOMBO)
sehemu ya bahari mjini TANGA
CITY CENTRER with old buildings
sehemu maarufu inayoitwa soko la wazungu, iko maeneo ya mjini karibu na bank ya NMB
Mi majina yao tu !!!!!!!!
kibao cha hotel niliyokuwa nimefikia
Moja ya hotels yenye manzari nzuri mjini tanga iliyo maeneo ya SAHARE, inaitwa TANGA BEACH HOTEL
BEACH ya JET
MKONGE HOTEL, hii hotel ya toka long ina manzari mazuri sana na naksh zake ni za zamani zamani
Nikiwa nimepumzika juu kabisa ndani ya NYUMBANI hotel, nikiwa napata hewa safi kabla ya kuelekea kituoni tayari kwa safari ya kurudi DAR
Baadhi ya maeneo ndani ya NYUMBANI HOTEL
2 comments:
kweli mwana ulifaidi naulli ya tanga ni shilingi ngapi nataka kwenda kutembea, tafadhali nitaomba ushauri wako kabla sijaenda
HAINA TABU TUWASILIANE TU UKIWA TAYARI
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa