Monday, April 4, 2011

kama wewe kweli wa mafia ................?????

kama kweli ni wa mafia? niambie hawa jamaa wako katika kitu gani na wanafanya nini?

4 comments:

Anonymous said...

kaka hii itakuwa hawa jamaa wako katika boti ama wanaenda nyamisati au mafia

namhurumia uyo dogo kalala katika mabao ya boti mpaka akifika mbavu zinamuuma

Anonymous said...

hahah ama kweli, naijua hii ni mafia line

Anonymous said...

du! kitu kinaenda pole pole mpaka kuja kufika shughuli hanayo dogo

orehabusiness said...

hahah hahah ni kweli inaenda tarat

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa