Mastaa waliozaliowa sawa na tarehe ya Uhuru wa Tanganyika (09 December)
Waimbaji
Christina Klein (Muimbaji wa kundi la 'LAFEE'
Amezaliwa-December 9, 1990
Urefu - 5' 5¼" (166 cm)
Macho rangi ya kijaniEye Color Green
Mahali alipozaliwa - Stolberg , Germany
Utaifa - German
Ethnicity Multiracial
Fani –Uimbaji
Aliowai kufanya nao kazi ni pamoja na
Tamon Nüssner (drums), Goran Vujic (bass)
Klaus Hochhäuser (keyboards)
Ricky Garcia (guitar)
Omar Ibrahim (bass)
Germaine Williams 'Canibus'
Amezaliwa Desemba 9,1974
Urefu - 5' 8" (173 cm)
Makazi- Athletic
Rangi ya macho (Brown – Dark)
Rangi ya nywere (Black)
Fani msanii-Rapper-Hip-Hop
Utaifa-Jamaica
Albam yake ya kwanza 'Melatonin Magik'
Waigizaji
Ragini Khanna
Kuzaliwa Desemba 9, 1988
Utaifa-India (Muhindi)
Makazi- Mumbai
Ragini anawika katika uigizaji wa filamu
na vipindi vya televisheni nchini humo.
Pia ni ndugu/mjomba wa msanii maarufu wa Nchi hiyo Govinda.
Baadhi ya kazi alizofanya ni pamoja na Bhaskar Bharti na Radhaa Ki Betiyaan Kuch Kar Dikhayengi.
Ragin anaongoza kipindi cha Tv shoo cha Sasural Genda Phool
Kinachorushwa kwenye televisheni ya STAR Plus, na anakusanya kiasi kikubwa cha fedha kila shoo anayoifanya kwenye vituo vya Tv zaidi ya tatu nchini humo.
Chen Hao
Amezaliwa Decemba 9, 1979
Utaufa-China
Makazi- Qingdao , Shandong
Fani-Muiguigizaji, Mwimbaji na Mwanamitindo
Urefu- 166cm
Uzito- 50kg
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa