Translate in your language

Wednesday, December 8, 2010

Mastaa waliozaliowa sawa na tarehe ya Uhuru wa Tanganyika (09 December)
Waimbaji
 Christina Klein (Muimbaji wa kundi la 'LAFEE'
Amezaliwa-December 9, 1990
 Urefu - 5' 5¼"  (166 cm)
Macho  rangi ya kijaniEye Color           Green
Mahali alipozaliwa - Stolberg , Germany
Utaifa - German
Ethnicity           Multiracial
Fani –Uimbaji

Aliowai kufanya nao kazi ni pamoja na
Tamon Nüssner (drums), Goran Vujic (bass)
Klaus Hochhäuser (keyboards)
Ricky Garcia (guitar)
Omar Ibrahim (bass)

Germaine Williams 'Canibus'
Amezaliwa Desemba 9,1974
Urefu - 5' 8"  (173 cm)
Makazi- Athletic
Rangi ya macho (Brown – Dark)
Rangi ya nywere (Black)
Fani msanii-Rapper-Hip-Hop
Utaifa-Jamaica
Albam yake ya kwanza 'Melatonin Magik'

Waigizaji
Ragini Khanna
Kuzaliwa Desemba 9, 1988
Utaifa-India (Muhindi)
Makazi- Mumbai
Ragini anawika katika uigizaji wa filamu
na vipindi vya televisheni nchini humo.

Pia ni ndugu/mjomba  wa msanii maarufu wa Nchi hiyo Govinda.
Baadhi ya kazi alizofanya ni pamoja na Bhaskar Bharti  na Radhaa Ki Betiyaan Kuch Kar Dikhayengi.

Ragin anaongoza kipindi cha Tv  shoo cha  Sasural Genda Phool
Kinachorushwa kwenye televisheni ya  STAR Plus, na  anakusanya kiasi kikubwa cha fedha kila shoo anayoifanya kwenye vituo vya Tv zaidi ya tatu nchini humo.


Chen Hao
Amezaliwa  Decemba 9, 1979
Utaufa-China
Makazi- Qingdao , Shandong
Fani-Muiguigizaji, Mwimbaji na Mwanamitindo
Urefu- 166cm
Uzito- 50kg



No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)