Mume aeleza alivyoporwa mke na Dk. Slaa
Mume wa ndoa wa Josephine Mushumbusi
“NAKUACHIA kibanda chako, nakwenda kwenye nyumba yangu.” Hayo yalikuwa maneno ya mwisho ambayo Aminiel Mahimbo aliambiwa na mkewe, Josephine Mushumbusi siku alipoachwa na mkewe huyo aliyeamua kwenda kwa mgombea wa urais wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa.
Mahimbo ambaye ni mume halali wa Josephine, (kwa ndoa ya kanisani) alisema anakumbuka kuwa ilikuwa Machi mwaka huu na hakujua mke wake alipokuwa akienda na wala hakuhisi dalili yoyote ya kuwepo kwa mwanamume mwingine katika ndoa yao mpaka siku mwanawe wa kwanza Upendo (7) alipomwambia “baba tunaishi na daddy”.
kwa maelezo zaidi bofya hapa
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa