Kamishina wa Nishati na Petroli wa Wizara  ya Nishati na Madini Injinia Bashir Mrindoko akitoa ufafanuzi kwa  waandishi wa habari kuhusu mkutanao wa mwaka wa  wadau wa sekta ya  Nishati unaojadili namna  kukabiliana na changamoto  zinazokwamisha  maendeleo ya sekta nishati nchini leo jijini Dar es salaam.
kwa msaada wa blog ya michuzi kwa maelezo zaidi bofya hapa  
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa