kampeni zilihudhuliwa na aliyekuwa kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh HAMAD RASHID MOHAMED
aliyekuwa kiongozi wa kambi ya wapinzani bungeni akinadi sera za chama hicho katika viwanja vya mkunguni Mafia
watu walijitokeza kwa wingi kusikiliza sera za chama cha wananchi CUF
1 comment:
duuh watu kumbe mafia ni wengi na wanaelekea wengi wao ni cuf
ahsante kwa blog yako mkuu
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa