PICHA ZA MISS KAHAMA VODACOM 2010 "juu'
Miss Kahama 2010;Buduri Ibrahim aliyeketi,aliye upande wake wa kulia ni mshindi wa pili;Magreth Godson na aliye kushoto kwake ni mshindi wa tatu;Muhoza Mkangi,aliye mwishoni kulia kwao ni Edina Joachim na kulia kwao pembeni kabisa ni Zainabu Dauda. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii;Ezekiel Maige akimkabidhi TV iliyotolewa na Benki ya CRDB Tawi la Kahama ambayo ilikuwa ni moja ya Wadhamini,Miss Kahama;Buduli Ibrahim,mwingine katika picha ni Afisa katika Benki ya CRDB,Deusdedit Kyomushula. |
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa