Wednesday, June 9, 2010


Pichani juu baadhi ya warembo wa Kanda Nyanda za juu Kusini


Warembo wa kanda ya Nyanda za juu kusini  (Mbeya, Iringa, Rukwa na Ruvuma)wanaotarajia kuchuana vikali Juni 11 mwaka huu katika ukumbi wa Mkapa uliopo mkoani Mbeya, hapa wapo katika kambi yao katika Hoteli ya Mtenda Sunset.
 




No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa