Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa miongoni mwa mwa wake wa marais kadhaa waliohudhuria ufunguz rasmi wa mkutano wa pili wa "Women Deliver"duniani unaofanyika Washington DC,tarehe 5-7 June, 2010.Wengine katika picha ni Mama Ernestina Naadu Mills, Mke wa Rais John Attah Mills wa Ghana,Mama Sia Nyama Koroma mke wa Rais Ernest Koroma wa Sierra Leone na Mama Shadya Karume, mke wa Rais Aman Karume wa Zanzibar.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mke wa Rais wa Sierra Leone Mama Sia Nyama Koroma wakati wa kikao cha 'First Ladies and Princesses" kilichokuwa kinajadili kazi zilifanywa na taasisi za wake wa marais hao nchini mwao.
1004 Mwanzilishi na Rais wa "Women Deliver" Ndugu Jill Sheffield akisalimiana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa kikao cha faragha cha Wake wa Marais na ma-princesses kilifanyika katika ukumbi wa Washington Convention tarehe 7.6.2010. Kulia ni me wa Rais wa Sierra Leone Mama Sia Koroma.
1008 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shadya Karume akisalimiana na Dr.Fred Sai,kutoka Ghana,Mwenyekiti Mwenza wa 'Women Deliver' wakati wa kikao cha wake wa marais kinachofanyika huko Washington DC kuanzia tarehe 5-7 June,2010. Kulia ni Mama Salma Kikwete.
1017 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shadya Karume akisalimiana na Bi Christy Turlington,a CARE advocate for maternal health and film maker and a contributing editor at Marie Claire Magazine na katika picha ya pili akisalimiana na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa kikao cha Women Deliver katika ukumbi wa Washington convention tarehe 7.6.2010.
1031 Mwenyekiti mwenza wa "Women Deliver" 2nd Global Conference on 'delivering solutions for girls and women' Dr. Fred Sai akiendesha kikao cha wake za marais na ma-princesses kilichofanyika katika ukumbi wa Washington Convention center tarehe 7.6.2010.
1045 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shadya Karume akizungumza na wajumbe wengine wa mkutano wa pili wa dunia wa "Women Deliver" Bi Susan Keese (kushoto) na Linda Alexander (kulia) wote kutoka Marekani wakati wa mapumziko.
PICHA NA JOHN LUKUWI
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa