Waziri wa Nishati na Madini, William Mganga Ngeleja (kulia), aliteta jambo na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika (katikati), walipokutana kwenye mazishi ya mama mzazi wa Mjumbe wa NEC, Christopher Mwita Gachuma, marehemu Gaudensia Bhoke Gachuma hivi karibuni huko Tarime mkoani Mara. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Crement Mabina. |
|
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa