Translate in your language

Saturday, May 29, 2010

PICHANI JUU IGP SAID MWEMA AKIFUNGUA MAZOEZI

 

Pictures No 1,2,3,4,5

Askari Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoani Ruvuma wakimuonyesho Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Saidi Mwema, namna wanavyopambana na uhalifu. IGP Mwema yupo Mkoani Ruvuma kwa ziara ya wiki moja.(Picha na Hassan Mndeme, wa Jeshi la Polisi)

 

Picture No 6

Askari Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia mkoani Ruvuma wakiwa kwenye onyesho la kupambana na vitendo vya uhalifu mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Saidi Mwema, aliyopo Mkoani Ruvuma kwa ziara ya wiki moja. (Picha na Hassan Mndeme, wa Jeshi la Polisi)

 

Pictures IGP 1,2

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini  Inspekta Jenerali Saidi Mwema, akizindua uwanja wa mazoezi ya kulenga shabaha mkoani Ruvuma kwa kulenga shabaha. (Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)

 


Pictures Field 1,2,3,4,5

Askari wa kutuliza ghasia akifanya onyesho namna ya kupambana na wahalifu wakati Mkuu wa Jeshi la Polisi alipotembelea uwanja wa mazoezi Mpitimbi Wilayani Songea akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma.(Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)

 

Picture Field 6

Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakifanya mazoezi ya kukamata wahalifu wakati Mkuu wa Jeshi la Polisi alipotembelea uwanja wa mazoezi Mpitimbi Wilayani Songea akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma. (Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)

 

Pictures IGP 1,2

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Saidi Ally Mwema akilenga shabaha kwa ishara ufunguzi wa maonyesho ya utayari katika kujihami na uhalifu wakati alipotembelea uwanja wa mazoezi Mpitimbi Wilayani Songea akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma. (Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)

 

 




No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)