MWANAFUNZI WA MAKUMIRA AIBA GARI AGONGA MTI NA KUFA
Hai
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Makumira
iliyopo Mkoani Arusha, amefariki dunia papo hapo , baada ya gari
alilokuwa ameiba kugonga mti katika maeneo ya Kia Wilayani hai akiwa
katika harakati za kutoroka
Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa Habari Kaimu Kamanda wa Polisi
Mkoani Kilimanjaro Hilda Kinabo alisema kuwa tukio
23,majira ya saa 9:00 asubui katika eneo la Community House karibu na
uwanja wa ndege wa Kia.
Kamada alimtaja mwanafunzi huyo kuwa ni Skadi Athumani (21)ambaye
alifika nyumbani kwa Albart Mgambilo na kukuta gari
limeegeshwa na ndipo alipotumia funguo za bandia na kufanikwa kuondoka
nalo.
Kinabo alisema kuwa baada ya mwanafunzi huyo kufanikiwa kuondoka na
gari
Asunta aligomga mti na kufariki dunia.
Hata hivyo Kamanda alisema kuwa mmiliki wa gari
na baadhi ya majirani walioshuhudia ajali hiyo, huku wakidhani kuwa
mmiliki wa gari
gari ndipo walipomkuta mwanafunzi huyo.
Matukio ya wanafunzi kujiingiza katika wizi wa magari pamoja na
uporaji yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara ambapo Kaimu Kamanda
amewataka waalimu kutoa elimu kwa wanafunzi juu ya adhari ambazo
zinatokana na wanafunzi kujiingiza katika vitendo vya ujambazi.
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa