Translate in your language

Sunday, May 23, 2010


 




PICHANI JUU
MKE WA rAIS na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA,mAMA Salma Kikwete,akizungumza na Rais wa "Global Summit of Women", Irene Natividad wakiwa kwenye gari wakielekea kwenye ukumbi wa ufunguzi wa mkutano 'great hall of the people'huko Beijing nchini China tarehe 21.5.2010.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kwenye ufunguzi rasmi wa mkutano wa 20 wa "Global Summit of Women" kwenye ukumbi wa 'Great hall of people'huko Beijing nchini China tarehe 20.5.2010. Aliyekaa kushoto kwa Mama Salma ni Mheshimiwa Maud Olofsson, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Sweden.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kwenye mjadala wa "Leading Government's Reach to women" pamoja na Mheshimiwa Nguyen Thi Doan,Makamu wa Rais wa Vietnam,katikati, na mwishoni ni Moderator Yang Lan, Afisa Mtendaji Mkuu na Mmiliki wa 'Sun Media Group'nchini China tarehe 21.5.2010.
0193, 0325, 0297 Picha mbalimbali za Mama Salma Kikwete akishiriki katika majadiliano .na baadaye akiagana na Makamu wa Rais wa Vietnam Mheshimiwa Nguyen Thi Doan,katikati, na Yang Lan, (kushoto).

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA,Mama Salma Kikwete akimkabidhi zawadi ya kinyago cha ujamaa Mheshimiwa Wang Zhizheng, 'Vice-chairperson, Chinese People's Political Consultative Committee'aliyemwandalia Mama Salma Kikwete chakula cha mchana tarehe 21.5.2010.
  PICHA NA JOHN LUKUWI 

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)