Sunday, May 9, 2010

 

Happy Birthday MO !!!!

 

Jana Mei 8,  Mh.Mohammed Dewji wa jimbo la Singida Mjini, alikuwa akisherekea sherehe za kuzaliwa kwake, hivyo Mafia-Matembezi blog inamtakia kila la kheri kufanikisha yale yote aliyopanga kufanya katika maisha yake....Mungu aendelee kumzidishia na kumpa neema na maarifa tele katika nchi hii ya Tanzania na Dunia.

 

 

 
Mh.Mohammed Dewji akiwa na nyuso ya furaha jana ofisini kwake muda mfupi akisubiri furaha !!!
 
Happy birthday .....tuu yuu happybithday tuuuuuu yuuuuuuuuu tunakutakia maisha mema,,,,kila siku katika maisha yako ,,,,,,,Amen
 
 

No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa