Translate in your language

Sunday, May 2, 2010

DAIMOND
 
Mbagala,Mbagala.
 
Jamani hivi wasanii wetu ndiyo wamebadilika ama wanaanza kubadilika!
 
Hivi karibuni nilitoa mtazamo wangu juu ya sanaa ya Bongo ama vipaji vinatakiwa kuanzia chini yaani vijana walio na umri mdogo wafundishwe sanaa ya kijamii na akili.
 
lakini kwa sasa, kila kijana anayetunga nyimbo ni lazima atatunga nyimbo za mapenzi? kwa nini! bila shaka anaangalia maslai na soko.
 
JAmani labdakidogo wasanii Daimond, 20 pacent wamejitahidi kutunga nyimbo za mapenzi lakini zilizo na ujumbe je tutafika huiko tunapotaka kufika?

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)